Dira
Kuwa Taasisi inayoongoza ulimwenguni inayounda jamii inayoendelea kujifunza
Dhima
Kuendelea kubuni, kuendeleza na kutoa programu bora za elimu ya maisha marefu inayoweza kufikiwa kwa njia ya ujifunzaji mseto kwa maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi ya Tanzania, Afrika na kwingineko duniani