TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
(TEWW)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shahada ya Umahiri katika Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii (MAECD)

1. Shahada ya Umahiri katika Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii (MAECD)

  Sifa za Kuingilia;

  • Stashahada ya Juu katika Elimu Watu Wazima
  • Shahada ya Maendeleo ya Jamii
  • Shahada ya Elimu Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii

AU

Shahada yoyote katika fani zinazohusiana

Muda wa Masomo: Miezi 18

Ada: Tsh. 4,200,000 (Inalipwa kwa awamu mbili)