Bachelor Degree in Adult and Continuing Education (Conventional mode) Dar es Salaam Campus
Muda: miaka 3
Sifa za Kuingilia:
Cheti cha Elimu ya Sekondari ya Kidato cha Sita (ACSEE) yenye angalau ufaulu wa masomo mawili makuu na pointi 4 katika masomo husika.
AU
Stashahada ya Kawaida yenye angalau GPA 3.0 kutoka chuo chochote cha mafunzo kinachotambuliwa na Serikali. .
Ada ya mwaka: mwaka wa kwanza 1,405,000, mwaka wa pili 1,395,000 na mwaka wa tatu 1,575,000 (inalipwa katika awamu 3).