TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
(TEWW)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kampasi ya Dar Es Salaam
Kampasi Kuu ya TEWW iko katika Kiwanja Namba 7, kando ya Mtaa wa Bibi Titi Mohamed mkoani Dar es Salaam.

S.L.P 20679, Dar es Salaam

Namba ya Simu. 0713238806

PROGRAM ZINAZOTOLEWA KATIKA KAMPASI KUU YA DAR ES SALAAM

  • BAECD  - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii 
  • BAECD ODL - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa -  Inatolewa katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara.
  • BACE - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi
  • BACE ODL - Shahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
  • ODACE - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi
  • ODACE- ODL - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
  • ODAECD - Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii
  • ODAECD ODL - Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa
  • BTCACE - Astashahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi 
  • BTCAECD - Astashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii