Kampasi ya Ruvuma ipo katika eneo la Mahenge , makabala na Makumbusho ya Majimaji katika Manispaa ya Songea
S.L.P 113,
Namba ya Simu : 0752904849/0714908872
Songea.
PROGRAM ZINAZOTOLEWA KATIKA KAMPASI YA RUVUMA
- BAECD - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii
- BAECD ODL - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa - Inatolewa katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara.
- BACE - Shahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi
- BACE ODL - Shahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- ODACE - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi
- ODACE- ODL - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- ODAECD - Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii
- ODAECD ODL - Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa
- BTCACE - Astashahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi
- BTCAECD - Astashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii
- BTCDE- Astashahada ya Elimu Masafa