Shahada ya Kwanza katika Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii (hali ya kawaida) Kampasi ya Dar es Salaam.
Muda : miaka 3
Sifa za Kuingilia;
Matokeo ya Kidato cha Sita yenye Ufaulu angalau masomo mawili yenye alama 4 kwa masomo muhimu.
AU
Stashahada ya ya Kawaida ya yenye ufaulu wa GPA 3.0 kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Ada ya Mwaka: Mwaka wa kwanza - 1,405,000, Mwaka wa pili - 1,395,000 na Mwaka wa tatu - 1,575,000 ( Inalipwa katika awamu mbili).