TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
(TEWW)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shahada ya Umahiri katika Usanifu na Usimamizi wa Miradi (MAPDEMA)

2. Shahada ya Umahiri katika Usanifu na Usimamizi wa Miradi (MAPDEMA)

  Sifa za Kuingilia;

  • Stashahada ya Juu katika Maendeleo ya Jamii
  • Shahada ya Maendeleo ya Jamii
  • Shahada ya Mipango na Usimamizi wa Miradi
  • Shahada ya Elimu Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii

AU

Shahada yoyote katika fani zinazohusiana

Muda wa Masomo: Miezi 18

Ada: Tsh. 4,200,000 (Inalipwa kwa awamu mbili)