Kampasi ya Mwanza Luchelele Campus kipo Plot namba 1643, Kata ya Luchelele mkoani Mwanza.
S.L.P 223,
Tel. No. 0782293912
Mwanza.
PROGRAM ZINAZOTOLEWA KATIKA KAMPASI YA MWANZA LUCHELELE
- BAECD ODL - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa - Inatolewa katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara.
- BACE ODL - Shahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- BTCACE ODL - Astashahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- BTCAECD ODL - Astashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa
- ODACE- ODL - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- ODAECD ODL - Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa