Kampasi ya WAMO iko katika Kiwanja namba 317, Barabara ya Kingalu mkoani Morogoro.
S. L. P 827, WAMO - Morogoro
Tel. No. 023-2613230; 0683076665
PROGRAM ZINAZOTOLEWA KATIKA KAMPASI YA WAMO - MOROGORO
- BAECD ODL - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa - Inatolewa katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara.
- BAECD - EVENING - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii
- BACE ODL - Shahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- BTCACE - Astashahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi
- BTCAECD - JIONI - Astashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii
- ODACE - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi
- ODACE- ODL - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- ODAECD ODL - Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa
- ODAECD - EVENING Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Jioni