Kampasi ya Kilimanjaro , iko Wilaya ya Moshi Mjini
S.L.P 726,
Mtaa wa Taasisi , Kata ya Soweto
Tel. No. 0753684389
Kilimanjaro.
PROGRAM ZINAZOTOLEWA KATIKA KAMPASI YA KILIMANJARO
- BAECD ODL - Shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa - Inatolewa katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara.
- BACE ODL - Shahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- ODACE- ODL - Stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa
- ODAECD ODL - Stashahada ya Elimu ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii - Masafa
- Darasa la Kisomo