Shahada ya Elimu Watu Wazima na Mafunzo Endelezi - Masafa - Inatolewa katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara
Muda : miaka 3
Sifa za Kuingilia;
Matokeo ya Kidato cha Sita yenye Ufaulu angalau masomo mawili yenye alama 4 kwa masomo muhimu.
AU
Stashahada ya ya Kawaida ya yenye ufaulu wa GPA 3.0 kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Ada ya Mwaka: Mwaka wa kwanza - 1,405,000, Mwaka wa pili - 1,395,000 na Mwaka wa tatu - 1,575,000 ( Inalipwa katika awamu mbili).