TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
(TEWW)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Washiriki wa warsha ya kutengeneza tovuti wakiwa kazini
Washiriki wa warsha ya kutengeneza tovuti wakiwa kazini
11th Jun, 2024

Wataalamu TEHAMA pamoja na Wadau wengine  kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEW), walihudhuria mafunzo ya utengenezaji wa Website yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Mzumbe - Morogoro.