Dira na Dhima

DIRA

Kuwa Taasisi inayoongoza duniani kwa kuzalisha jamii inayoendelea kujifunza

DHIMA

Kubuni, kuendeleza na kutoa elimu sawa na bora ya kujiendeleza kwa ujifunzaji anuwai ili kuleta maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania, Afrika na ulimwenguni kote