Photo Gallery
-
Wiki ya kisomo
Wiki ya kisomo
Posted On : September, 30, 2020
-
slide show
Bi. Leonia Kassamia akiwasilisha mada katika warsha ya kujenga uwezo kwa wawezeshaji wa vituo vya mpango wa elimu mbadala ya wasichana walio nje ya shule. Warsha hii inalenga kuwajengea uwezo wawezeshaji wa mpango huu kuanzisha vituo vya mafunzo na kuendesha mafunzo kwa wasichana walio nje ya elimu rasmi katika wilaya ya Sengerema.
Posted On : August, 06, 2019